PRESS RELEASE

Wazo la kuanzisha Taasisi hii lilikuja mwaka 2021 kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kusaidia wasiojiweza, kujikwamua na changamoto za kimaisha na wamesahaulika na Jamii. Niliona ni muhimu kua na Taasisi hii kwenye jamii yetu itakayoleta chachu ya maendeleo endelevu kwa makundi tunayoyalenga yaani watoto, vijana na wanawake.

Read More »